Huyu ndiye toto tungu nyumbani, mtulivu darasani hupenda kujiita sharobaro akiwa nyumbani huku shukeni anajiita kamanda wa darasa MAHMOUD SALUM. alishawaikufunjika mkoni akiwa na umri mdogo sana tendo ambalo halijawai kujitokeza kwa wingi akiwa katika pozi lake kama kawaida yake chini na raba kali pensi nyanaya na pop t-shirt, Ni muwakilishi wa MAN UN kama kawaida yake na huwa akifungwa huwa ni wa kwanza kulala na kufanya fujo kwanza, akishinda redio na tv kwa pamoja sauti hadi mia na lazima mdogo wake siku hiyo ale pipi hata kama ni usiku wa manane Baba yake atajua pakuipata ingawa Baba yake nia chama pinzani ARSENAL. Mahmoud huwa anapata sapoti kutoka kwa Baba yaze wadogo RAMADHANI MAREJETA na ABDULKARIM HUSSEI( MIWANI BLOG) huwa wakimkingia kifua tu baada ya timu yake kushinda tena hususani ikicheza na wahasimu wake na kuwapiga bao huwa Dingi anakuwa mkali kweli kila siku ni mechi ndani ya nyumba.
MIWANI BLOG yasema HONGERA MUU
imeandikwa na
Abdulkarimu Hussein
+918447670340
New Delh INDIA
No comments:
Post a Comment