Monday, 19 December 2011

NIC BANK YATOA FEDHA KWA HOSPITALI YA CCBRT

Mkurugenzi wa Banki ya NIC Tanzania  James Muchiri ,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni Mbili na laki nne 2.4 kwa hospitali ya CCBRT kwa ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans


Hii ni moja ya sehemu ya utoaji hudima kwa jamii kwa kuisaidi kwa kupitia taasisi za kutoa huduma kwa jamii. Ni moja ya materajio ya NIC BANK yaliyoelezwa na Mkurugenzi wa Benki hiyo akikabizi hundi hiyo ya shilingi milioni mbili na laki nne.




Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans akitoa neno  la shukurani kwa uongozi wa Benki ya NIC Tanzania baada ya kukabidhiwa hundi  ya shilingi Milioni 2.4 kwa  ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya NIC Tanzania  James Muchiri.






Mkurugenzi wa Benki  ya NIC Tanzania  James Muchiri, akimkabidhi hundi ya shilingi Milioni 2.4  Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans kwa  ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika  jijini Dar es Salaam hivi karibuni


Habari na Mdao wa MIWANIB BLOG Abdurazaq Abuu 
Dar es salaa 

No comments:

Post a Comment