Kareem ni kijana wa Kitanzania ambaye anaishi Cape Town Western Cape South Afrika na ndipa napofanya shughulizake za maishu Cape Town. Awali Kareem alitokea Dar es Salaam na ni mwanaharakati ambaye amesimamia msimamo wake na huku akieleza kilio chake ni kutaka kuielimisha jamii kwani watu wamejisahau na kupotea kimaadili na kiuongozi. MIWANI BLOG imeweza kuwasiliana na Kareem kwa maojiano zaidi na kuweza kupata mambo mengi. Tayari kumeanza maandalizi ya kuwa na ukurasa wa KIMYA KINGI NI KISHINDO, ukurasa ambao utakuwa unatupatia habari za wanaharakati na wapigania haki kwa njia yoyote ile na kuweza kuwaenzi wale waliosaidia kutoa elimu kwa njia tofauti. Lengo ni nini? kwanza kabisa tungependa kujitambua tulipo kwa kulinganisha na tulipotoka hususani Waafrika haswa katika Taifa langu (Tanzania ), maana kumekuwa ni kilio kwa waliowengi ambao wapo ndani na waliopo nje, imefikia hata watu kuukataa utaifa wao na hata wengine kulewea nje na kuwa wageni pindi wanarudi nyumba kwani wankuwa tayari wameshachukua uraia wa nchi za watu. Kimsingi ni kusaka maisha na sheria ya kuwa raia wa nchi nyingine imewapa maswahi nchi zilizoendelea kwa maana ya kupora raia wa nchi nyingine pasipo kujua Waafrika kuwa itachelewesha maendele. Tumeona idadi kubwa ya wataalamu mbalimbali wakisoma na kumaliza huwa wanajiriwa kwa mishara minono na kupewa urai, hii ni moja wa kutufanya waafrika kucheleweshwa kielimu baada ya kuporwa mali sasa kumbe tumekuwa tukiporwa wataalamu. MIWANI BLOG imeweza kukusanya maoni mbalimbali ya Waafrika wanoishi nchi za nje kuoata jibu mija tu.
Afrika imetelekezwa na viongozi na mpaka sasa viongozi wamezidi kuwa kikwazo cha maendeleo kwa kasi inyotakiwa na kuwataka Waafrika wote kuamka.
imeletwa kwenu na MIWANI BLOG
kupitia Abdulkarim Hussein
New Delh India
+918447670340
Afrika imetelekezwa na viongozi na mpaka sasa viongozi wamezidi kuwa kikwazo cha maendeleo kwa kasi inyotakiwa na kuwataka Waafrika wote kuamka.
imeletwa kwenu na MIWANI BLOG
kupitia Abdulkarim Hussein
New Delh India
+918447670340
No comments:
Post a Comment