Thursday, 15 December 2011

vituko vya viongozi

MASOUD KWIKIMA
"uwajibikaji hauleti maana bila kujitoa(commitment)." Hii ni habari ya utafiti mfupi ulifanywa na MASUOD  KWIKIMA juu ya vijana na maendeleo yao kwa ujumla kwa kujito katika kugombea nyizafa au nafasi tofauti katika mazingira wanayoishi.  Masoudi ameieleza alipofanya maohojiano na MIWANI BLOG kwa njia ya simu. Masoud aliiezea jinsi gani anavyotumia muda mwingi kufanya tafiti mbalimbali na kutafuta njia za kuwafikia vijana kwa njia ya mawasiliano ya mitandaoo ambayo kwa sasa ndio ambayo vijana wengi wamekuwa wakiutumia muda wao mwingi kusoma habari amabzo haziwajengi na badala yaku kuaangalia mastaa wa nje (Ulaya)  na wanyumbani (kiafrika),  huku akiishutumi baadhi ya mitandao hiyo kwa njia moja au nyingine imekuwa ndio  njia ya kuwapotosha vijana mbali na mafundisho yanayotolewa. Akieleza dhamira yake kwa ujumla na nia ya kutafuta njia mbadala ya kuwaelimisha vijana wenzake kuweza kushiriki katika kulikomboa taifa kwa ujumla na balaa la upotevu na itikadi na amani huku akitabiri kuwa mwisho wa ni Afrika yenye viraka vya moto na mabaki ya masalia yaliyounguzwa kwa kuteketezwa na moto endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.
                      Masoud ameilezea hali hiyo katika mtazamo tofauti kulingana na maisha ya kiafrika hususani Nchi yanke ya TANZANIA kwa kutoa mifano ambayo tayari ilishapita na kuwataka Watanzania kusahau yote hyo na kuangalia ni nini ambayo wataweza kukifanya ambacho kitakuja kuwa faida kwa taifa lijalo na huku akisisitiza kuwa usiwe ni msema tena kuwa vijana ni taifa la kesha bali liwe ndio taifa la sasa .Akiwaomba vijana kuungana mikona na vjana wenzao ambao ni wanaharakati wa maendeleo na sio wafunya maendeleo sio kufuruga maendeleo.

No comments:

Post a Comment