Katika hali ya furaha na moyo uliokuwa safi kwa wengi vijana wanaoishi ngambo wenyewe huwa wanpenda kusema hivyo ni tofauti kabisa na wlioko nyumbani kushiri kama walioko ngambo hii imejitokeza katika udhamisha miaka 50 ya Uhuru. Sherehe zilizofanyia sehemu mbalimbali kulingana na watanzania walipo.
Haya ndio yaliyojiri New Delhi INDIA vijana waliojitokeza kusheherekea uhuru wao miaka 50 iliyopita sherehe iliyopambwa na shughuli mbalimbali zikiwemo ngoma za asili na mavazi ya kiafri yalikuywa kivutio cha wageni walioalikwa hususani wadosi wamezoeleka kwa jina hilo. kama jinsi picha za watoto walioonyesah mavazi ya kiafri MIWANI BLOG nayo haikuwa nyuma katuka kujipatia zile tuziitazo kumbukumbu yaani picha. kila kona na kila aliyepiga picha aliionyesaha ile hala inayotumika na wenzetu wa chama fulani lakini simaanishi huko nadhani ni amani ndio ilikuwa inaonyesha hapo baada ya miaka hamsini iliyopita kupata uhuru nani atpe historia? jibu unalo hakuza zaidi ya MIWANI BLOG ndiye aliyekusanya habari zote.
JE? WAUJUA MSEWE
Ni ngoma mojawapo iliyokuwa kivutio siku ya sherehe hizo ambaoyo ilifanyika katika viwanja vya jengo la ubalozi wa Tanzania nchi India. Ngoma iliyochezwa na vijana wa kitanzania wenye asili ya Kizanzibari. Hapo ndipo wageni pamoja na wenyeji walioalikwa kujua asili ya Zanzibari kwa kuonyeshwa jinsi gani mzuli unavyoyumia. Na kama tujuavyo kwenye kuvuka moshi panamoto, hali ilikwa si sharwi kidogo na baada ya muda mambo yaliendelea kuwa moto na moshi ulivuka baada ya hali ya hewa kuwa ya usawa na kuonyesha matumaini ya sherehe kumalizika kwa amani. Tamaduni za kiafrika huwa zimekuwa kivutio kwa wengi hii imedhihirika hata kwa waafrika ambao walionda katika nchi zao kwa muda mrefu huwa wakiona ngoza zao wanaguswa sana na ndio huanza nao kuonyesha umahiri wao wa kulisakata ngoma, MIWANI BLOG iliweza kujidhihirisha juu ya swala hilo kwani liliweza kuwaona vijana wengine waliojificha huku wakilisakata ngoma hiyo
No comments:
Post a Comment