Katika hali ya furaha na moyo uliokuwa safi kwa wengi vijana wanaoishi ngambo wenyewe huwa wanpenda kusema hivyo ni tofauti kabisa na wlioko nyumbani kushiri kama walioko ngambo hii imejitokeza katika maadhamisha miaka 50 ya Uhuru. Sherehe zilizofanyia sehemu mbalimbali kulingana na watanzania walipo.
Haya ndio yaliyojiri New Delhi INDIA vijana waliojitokeza kusheherekea uhuru wao, miaka 50 iliyopita sherehe iliyopambwa na shughuli mbalimbali zikiwemo ngoma za asili na mavazi ya kiafri yalikuywa kivutio cha wageni walioalikwa hususani wadosi wamezoeleka kwa jina hilo. kama jinsi picha za watoto walioonyesah mavazi ya kiafri MIWANI BLOG nayo haikuwa nyuma katika kujipatia zile tuziitazo kumbukumbu yaani picha. kila kona na kila aliyepiga picha aliionyesaha ile hala inayotumika na wenzetu wa chama fulani lakini simaanishi huko nadhani ni amani ndio ilikuwa inaonyesha hapo baada ya miaka hamsini iliyopita kupata uhuru nani atupe historia? jibu unalo hakuza zaidi ya MIWANI BLOG ndiye aliyekusanya habari zote.
Vijana wanaoishi New Delh wakipiga picha katika pendera ya Taifa yao hii ni kuonyesha ni jinsi gani walivyojawa na upendo na Nchi yao. Katika mikusanyiko ya Taifa moja huwa hapakosi neno la nyumba na ndipo MIWANI BLOG iliponasa neno likisemwa"MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA"
No comments:
Post a Comment