|
Iqram Juma Mnyogopa |
1.
Kila mmoja na familia bila kulisahau Taifa lake huwa linapenda kuwaombea watoto,vijana wao mambo mema. Hii ni siku ya furaha kwa familia ya Mzee Mnyogopa baada ya kijawao mpenda Iqram Juma Mnyogopa kupitia hatua moja katoka safari ya ndoto yake na familia yake kwa ujumla.Hapa ndipo wazazi walipoonyesha jina lao la mwisho kwa kijana wao huyo baada ya kupata kile walichokuwa wakitarajia ilikuwa safari ndogo bali ni safari ndefu yenye vikwazo vingi lakini mwisho wa siku familia ilisema "HONGERA KIJANA WETU."
|
Baadhi ya Wahitimu |
2.Kila mmoja alikuwa makini na kisikiliza kile kilichikuwa kikielezwa, inapendeza kuwaona vijana wakiwa wamevaa nguo ambazo hazitzkuja kujirudia tena kuzifaa huwa ukishalivaa umeliva utakuja kulivaa kama hilo ila litakuwa na tofauti na werefu huwa ndio wanayoweza kutafautisha katika ulimwengu wa sasa ni matarajio yetu kupata Taifa bora zaidi lenye mavuno mazuri na sio mfukoni kwa kuwalinda hawa vijana kwa kuwapa kile kilicho bora zaido na MIWANI BLOG haisiti kuwaambia VIJANA SAFARI NI NDEVU KAZENI BUTI MUENDAPO .
|
Iqram na Pendo
(NEW DELH-INDIA) |
3.Ni furaha iliyoje baadha ya kuhitimu shahada ndogo na wazazi kufunua jino lao la mwisho hatimaye kupelekwa kuongeza ujuzi Nchini India akiwa na mmoja wa watanzania wanaoishi New Delh PENDO hapo waliungana katika viwanja vya Ubalozi wa Tanzania nchi India katika kusherekea Miaka 50 ya uhuru.
Mbali na hapo kwa habari zaidi huwa wanasoma katika chuko kimoja ni jinsi gani amani ilivyotawala Tanzani hadi kwa wananchi wake yapasa kuwashukuru waliotufikisha hapa na kuwaombea waliotutangulia kwa kusema neno moja tu "MWENYEZI MUNGU TUNAKUOMBA UWALAZE MAHALI PEMA PEPONI WALIOTUTANGULIA - AMEN"
No comments:
Post a Comment