Katika hali ambayo siyo ya kawaidi baadhi ya Watanzania wamekuwa wakitumiana ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu za mikononi kuanzaia tarehe 19 ili kukwepa mfumiko wa gharama ya ujumbe wa maneno ifikapo Tarehe 25. Hali hiyo imejitokeza baada ya mmoja wa Watanzania kuweza kutuma ujumbe uhu kwa baadhi ya Watanzania wenzake kwa kuepuka gharama hiyo ambapo ujumbe mmoja huwenda ukatozwa rupee 161 ambapo ni sawa na sh 5000/= Tzs ikilinganishwa na ile ya awali rupee 1 kwa ujumbe mfupo wa maneno ambayo ni sawa na sh 31/=Tzs. Hali hii imeonyesha wasiwasi mkubwa kwa baadhi ya watu kwani wengi wao ni wanafunzi.
imeripotiwa na MIWANI BLOG kutoka kwa BERN RUTA
imeripotiwa na MIWANI BLOG kutoka kwa BERN RUTA
No comments:
Post a Comment