Mkurugenzi wa Mwanahali SAED KUBENEA arejea jijini Dar es Salaam kutokea Nchini INDIA alipo kuwa akitiwa. Mmiliki huyo wa gazeti la Mwanahali aliyefanyiwa upasuaji mdogo wa macho siku chache zilizopita katika Hospitali ya Apollo iliyopo New Delh nchini INDIA ambapo alikaa kwa siku siku tano. SAED KUBENEA anatarajiwa kuwasili jijini kesho mchana 11/01/2012 kutekea New Delhi - India. Imeripotiwa kuwa SAED KUBENEA alifanyiwa upasuaji huo ulichukua zaidi ya masaa tatu, huku taarifa za daktari zikielewa kuwa hali yake ni nzuri. akiwa na baadhi ya jamaa na mariki waliomtembea katika hospital hiyo. Picha zifuatazo na matukio
Picha kulia na kushoto ni Saed Kubena akiwa na marafiki wa karibu wanaoishi nchini India New Delhi ambao walikupata fursa ya kuwa pamoja nae kwa wakato wate aliopo india kwa matibabu yake huku akionekana kuwa na furaha zaidi kurejea nyumbani.
Picha ikumuonyesha Kubenea akiagana na marafiki waliomsindikiza Airport kurejea Tanzania kuoka India
kwa mataibabu zaidia
picha na Abdulkarimu H. Muro
New Delh INDIA
Saed Kubenea akiteta jambo na mmoja wa watanzania Abdulkarim Hussein Muro anaosoma New Delhi nchini India katika uwanya wa ndege wa kitaifa wa New Delhi kabla kuondoka kureja Tanzania |
Picha kulia na kushoto ni Saed Kubena akiwa na marafiki wa karibu wanaoishi nchini India New Delhi ambao walikupata fursa ya kuwa pamoja nae kwa wakato wate aliopo india kwa matibabu yake huku akionekana kuwa na furaha zaidi kurejea nyumbani.
Picha ikumuonyesha Kubenea akiagana na marafiki waliomsindikiza Airport kurejea Tanzania kuoka India
kwa mataibabu zaidia
picha na Abdulkarimu H. Muro
New Delh INDIA
No comments:
Post a Comment